UJUMBE UNAO KULETEA FAIDA YA KWELI
Kanisa la Wasabato ulimwenguni, linakuandalia mfululizo wa mafundisho ya injili kwa mwezi huu wa sita. mada kuu ni UJUMBE UNAO KULETEA FAIDA YA KWELI. Kanisani Matanda, Ujumbe huu wa maana sana katika maisha ya kila mtu utatolewa kwenye tovuti la kanisa kila siku kuanjia saha kumi na mbili unusu za jioni 18:30.
Bienveillant
6/20/20251 min temps de lecture


Évangélisation, prière, séminaires.